NAFASI 250 ZA KAZI NAD INSURANCE AGENCY

BENKI ya CRDB Kupitia Wakala wake Mkuu NAD Insurance Agency inatangaza fursa za Ajira 250 Kwa Vijana wa Kike na wa Kiume wenye Sifa katika nafasi ya Kutengeza Lipa Kwa CRDB (Merchant).

Location: Mara, Kagera, Mwanza na Simiyu.

PATA AJIRA MPYA KILA SIKU BOFYA HAPA

Sifa za Mwombaji Pamoja na Vigezo.

  • Awe na Elimu kuanzia Kidato Cha Nne na kuendelea.
  • Awe na Umri wa kuanzia 18 hadi 35.
  • Awe na Simu Janja (Smartphone, Android)
  • Awe Mchapakazi na hodari na
  • Awe Mwaminifu.

Malipo: Kila Lipa moja ni Tsh 10,000.

Mawasiliano: 0742948179
0766882211
0675656558