KARIBU Wakuzoom Dijital
Hii ni Kampuni Binafsi yenye kutoa huduma mbali mbali za kijamii katika upande wa Teknolojia na Habari kwa ujumla. Mwanzilishi wa Wakuzoom Dijital ni Mtanzania mwenye Ndoto Kubwa katika Teknolojia na Habari, "Hello! Naitwa Eliabu Manase Mduma Mwanzilishi wa Wakuzoom Dijital"
0 Comments
Post a Comment