PENZI LA DHATI
NO: 2
TULIPOISHIA..
Nilimkazia sana jicho mpaka akajishtukia lakin sikutaka kuongea nae tena kwakua alikua amenikera San kwa kitendo cha kuniita mim kinyonya.
ENDELEAA.....
Nikaona bora niomdoke nikatafute mtu mwingine alie mstaarabu anielekeze maeneo ya usafi ya vinyoya.
Lakini kabla sijafika mbali kengele ya Assembly ikagongwa nilifurahi sana kwakua nilikua sielewi nitaelekea wapi
Mda mfupi tu wanafunzi wengi walikusanyika ili kusikilizwa tulichoitiwa pale.
Mwalimu mkuu akaanza kuzungumza kwamba..tumepokea baadhi ya wanafunzi wa kidato chakwanza hapa dhuleni kwetu na wengine wataendelea kuripot mpaka pale ambapo itakua mwisho wa kulipot hivyo wanafunzi mliopo level zajuu lazma muwasaidie hawa ndugu zenu na muwakaribishe vizuri kwani mshaungana na kuwa familia moja tumeelewana wanafunzi?
Wanafunzi tukaitikia ndioo mwalimuuuuh.
Mwalimu mkuu akahitimisha na kuelekea ofisini kwake kuendelea na majukumu yake.
Mwalimu wa zamu nae hakuwa na jipya alimalizia kwa kusema wanafunzi muingie madarasani na muwe na utulivu wa hali yajuu kwasababu bado tunaendelea kupokea wageni mbalimbali hapa shuleni naomba muingie madarasani wote ispokua kidato chakwanza mnaitajika kwa muhasibu kukamilisha usajili wenu tumeelewana?
Wanafunzi wote tukasema
Ndiooo mwalimu
Wanafunzi wakatawanyika na kuelekea darasani na sisi vinyoya tukaelekea kwa muhasibu.
Tukafika na kufanya usajili tukaelekezwa darasa LA kukaa kwakua tulikua wachache tukaruhusiwa kukaa darasa moja.
Kila mtu anamuogopa kumuanza mwenzake tulipofika darasani kwakua mi nlikua sijatulia nikasimama mbele ya darasa ikawa hivi...
Mambo zenu naitwa nasra ukipenda niite naah sisi ni wasichan tu hivyo hatupaswai kuogopana tushilikiane kwa hali na Mali ili tutoboe saw wanafunzi wenzangu?
Wanafunzi
Kimyaaa!
Nkasema tena inamaana humu ni viziwi au
Basi hapo mshajiona wazuuri me mnaona kam nimewashobokea sindio eeh sasa sikieni mm ndo mtoto wa mwalimu mkuu na kwahiyo kila nachosema mnisikilize tumeelewana?
Wanafunzi kimyaaaa!
Aaah nikaona usinitanie nikachukua fimbo nikapiga kwenye meza wote wakashtuka nikawauliza mnashtuka nn inamaana hamniskii nachowaambia au
Akasimama mmoja akasemaa
Eeh bhana usituchoshe sie hap kwani huna kazi ya kufanya mpuuzi we.
Hapo kama alinipandisha kichaa tukajibizana sanaaa.
Mwalimu wazamu alimleta mwanafunzi mwingine pale darasani akakuta tunagombana akahuliza kunanini watoto mbona Leo nisiku yakwanza na mnaanza vulugu imekuaje dadazenu ambapo wameizoea shule wapi kimya vipi nyie wageni? Akaja akanishika began bint unaitwa nani? Nikamjibu kifupi ttu naah. Akauliza naah ndonini. Nasra mwalimu was zamu alinitazama sana akaniambia nakuhitaji ofisini nikatangulia kama napajua ofisini kwake. Nikaishia zangu
DARASANI.
Mwalimu akawauliza kunanini naombeni mtulie tunawageni wanafika hapa nazani tulielewa pale assembly na sheria zote nadhanishazipitia kwenye form zenu sindio?
WANAFUNZI.
Ndio mwaalimuuu
Saw a naomba niwaache ila muwe watulivu sana nitawapa zawadi
Minilikua zangu dilishani nikiwachora tu alipotoka mwalimu darasani nikaongea kwasauti
Ahaa anachazawadi wala mini kaeni tu stendi msubilie gari ya bule sikuhizi Anna chabure hahaha waone vilee vimacho vyao kama vtoto vyawachina .
Mwalimu akrudi tena
Wempumbavu njoo ofisini
Nikatoka ndukii mpaka ofisini nikatulia kwenye kiti kama sio Mimi Mara mwalimu akaingia.
Unajua Nini kiliendelea huko ofisini? Tukutane no3.
0 Comments
Post a Comment