🔥 Huduma ya Boosting
Tunaboost followers, subscribers na matangazo yako kwa njia halali na salama.
🚀 Boost Sasa🎨 Graphic Design & Branding
Logo, vipeperushi, lebo za bidhaa na matangazo ya kibiashara — yote kwa ubora wa hali ya juu!
🖌️ Agiza Design🎧 Promosheni ya Muziki
Tangaza muziki wako kupitia E-Media na WAKUZOOM DIGITAL — ufikie mashabiki kote duniani!
🎵 Tuma Kazi YakoHuduma Zetu
🔵 Social Media Boosting & Training (HUDUMA MPYA)
- Kuboost followers na subscribers kwenye mitandao ya kijamii
- Kuboost kazi, muziki au matangazo yako binafsi
- Mafunzo ya jinsi ya kufanya boosting kwa njia halali na salama
🔵 Digital Design & Branding
- Ubunifu wa blog na tovuti
- Logo, mabango, vipeperushi, lebo za bidhaa
- Video clips na maudhui ya mitandao ya kijamii
🔵 Development & Online Platforms
- Web & mobile app development
- Job portal integration
- Huduma za serikali mtandaoni (BRELA, NSSF, HESLB, nk.)
🔵 Multimedia Production
- Utengenezaji na uhariri wa video
- Promosheni ya muziki
- Huduma kamili za studio
🔵 Technical Support & Maintenance
- Ufungaji na matengenezo ya vifaa
- System upgrades na troubleshooting
- Mafunzo ya ICT
🔵 Business & Administrative Solutions
- Huduma za uandishi wa nyaraka
- Ushauri wa ajira na taaluma
- Kupata mikopo ya elimu ya juu (HESLB) na usajili wa vyuo
0 Comments