🔥 Huduma ya Boosting
Tunaboost followers, subscribers na matangazo yako kwa njia halali na salama.
🚀 Boost Sasa🎨 Graphic Design & Branding
Logo, vipeperushi, lebo za bidhaa na matangazo ya kibiashara — yote kwa ubora wa hali ya juu!
🖌️ Agiza Design🎧 Promosheni ya Muziki
Tangaza muziki wako kupitia E-Media na WAKUZOOM DIGITAL — ufikie mashabiki kote duniani!
🎵 Tuma Kazi YakoKuhusu WAKUZOOM DIGITAL
WAKUZOOM DIGITAL ni kampuni ya kidijitali iliyoanzishwa mwaka 2017 na Eliabu Manase Mduma kutokana na mapenzi ya teknolojia kutoka ndani kabisa. Tunatoa huduma za ubunifu wa kidijitali, utengenezaji wa tovuti na apps, multimedia, msaada wa kiufundi, na suluhisho za kibiashara.
📌 Dhamira Yetu
Kuwa mshirika anayeaminika zaidi Afrika Mashariki katika uvumbuzi wa kidijitali, ubunifu wa media, na msaada wa kina wa kibiashara — tukichochea mafanikio kupitia teknolojia, elimu na usimamizi bora.
📍 Tulipo
Morogoro, Mkundi Mwisho – Minara Mitatu, Tanzania.
0 Comments